Labels:

Audio mpya: Q Chilla Ft. MB Dog - Nipende Nikupende

Ni kipindi kilefu sana msanii kutoka Tanzania Q chilla kukaa kwa mda mrefu bila ya kutoa nyimbo mpya lakini ameibuka na nyimbo mpya iitwayo Nipende Nikupende akiwa Amemshirikisha
msanii mkongongwe ambaye alishawahi kuvuma na kibao chake cha wimbo uitwayo "Leila" M B Dog. Download wimbo huu mzuri sana kutoka kwa Q chilla


No comments:

Post a Comment